Ankal TUPENDANE!
Natumai unaendeleza libeneke kama kawa kwenye blog yetu ya jamii.
Naomba uwatambulishe wanajamii libeneke jipya la blog ya magari Tanzania: www.magaritz.blogspot.com
Humu kaka kuna matangazo ya magari yanayouzwa kila siku kutoka katika vyanzo tofautitofauti, zikiwemo showrooms na watu binafsi,
Hivyo wadau wanaweza kutuma matangazo yao ya magari BURE wanayouza pamoja au kupata fursa ya kuona magari mbalimbali yanayouzwa hapa nchini.
Nashukuru sana Ankal
na nakutakia kazi njema!
Mdau wa magaritz !
TZ SITES: http://www.tzsites.com
MICHUZI
http://issamichuzi.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment